1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA 200K X6
ILIPWE LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA ISIPUNGUE HAPA
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 KWA MIGUU BARABARA NI NZURI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
SIFAZAKE
#CHUMBA KIMOJA
#SEBULE
#PUBLIC NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASA YAKO YANAFLOW NDANI
GHARAMA YA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347