1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU
------
Vyimba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏