1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿HOUSE FOR RENT STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
Location: KIMARA MWISHO
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 1000, Daladala 600, Boda 1500
KODI 600,000 × 6
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️DINNING ROOM
✅️VYUMBA V5 VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA la KISASA
✅️INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
✅️MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
✅️RESERVE TANKS
✅️STORE KUBWA
✅️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✅️PARKING SPACE KUBWA 🚗
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
📌PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA KWENYE HII NYUMBA
📌NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 🚗
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp