1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara temboni km 2 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 150000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















