1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 100,000 x 5 ) #KIMARA_MWISHO
#CHUMBA MASTER INAPANGISHWA
#UMBALI WA KILOMETA (2, 5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA KIDOGO
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA
NA CHOO CHA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NA PIA KUNA SINGEL ROOM KUBWA SANA INAPANGISHWA
( 50,000. X 5 )
SLAIDING WINDOW TILES GPYSUM
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747