1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara mwisho km 3 usafiri bajaji ni buku mpaka home
Kodi 130000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master Sebule
Choo ndani
Umeme sapumita
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128