1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali
Location kimara mwisho km 3 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 250000 kwa mwezi na dalali mwezi mmoja Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sitting room
Kitchen
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo mita yake
Paving block
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128