1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara baruti dakika 14 kutembea mpaka home
Kodi 400000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Kitchen with cabinet
Fully A/C ndani
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo mita yake
Hita ya Maji moto na baridi bafuni
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128