1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
100 x 6 MASTA MASTA..KALI
UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO.TU
TILES GPYSUM SLIDING WINDOW
UMEME LUKU YAKE
MAJI DAWASA YANAFROW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONT
O627977383MASTER BEDROOMS NZURI SANA ZA KISASA ZINAPANGISHWA
NYUMBA MPYA
LOCATION:
KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 5 TU KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
CHOONI MAJI YANATOKA UKILIPIA KODI NA MAJI HUMOHUMO
NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
B: CHUMBA KIMOJA MASTER BILA JIKO KODI 120,000 X 6
ITAKUWA TAYARI TAREHE 9/2/2025
BOOKING RUKSA