1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿House For Rent #Stand Alone
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 700 Ukishuka Unapiga Geti Teke
Price: 500,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Dinning Room
✅️Vyumba V4 Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Kitchen With Cabinet
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✅️Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Full Paving Blocks 🚫
✅️Parking Space Kubwa 🚘
✅️Good Environment 👍
✔️Itakuwa Wazi 30/05/2025
✔️Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp