1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 250,000X6
LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 700 UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
MAWASILIANO
0677445508