1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KM 2
KUTOKA STEND TEMBONI USAFIRI BAJAJI ZIPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
vyumba vya kulala vitatu 3
Chumba kimoja ni master bedroom Sebule na jiko
Na pabrck ipo
Nyumba hii ipo peke yakee
KODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki tatu nanusu tuu/=
(350,000)
X6
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















