1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE
NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
ITAKUA WAZI KUANZIA 28/02/2025
KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA
#DINNING ROOM
#VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA SANA 🚗
#GOOD ENVIRONMENT ✨️
KODI 500,000 × 6
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp