1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
___________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani
Umeme wa 2
Utatumia namtu wa chumba kimoja Umeme
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_________________
Kodi kwa mwezi ni laki na semanini (180,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga
0712656027