1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM YA KIBABE
NA KUBWA SAANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA..
*#CHUMBA KIMOJA MASTER*
*#TILES, GIPSUM*
*#ALMINIUM*
*#MAJI METER YAKO*
*# UMEME SUB METER YAKO*
๐ฅKODI YAKE 130,000 X6
ILIPWE LAKI MOJA NA THELATHINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA..
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MJINI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM 1
BODA. TSH1000/=
0679447338
0753454167