1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA KIKUBWA "SINGLE"
KIZURI SAANA NDANI YA FENCE
KINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ KODI YAKE 50K X6//
ILIPWE ELFU HAMSINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.
#NYUMBA HII IPO NDANI YA FENCE
#LAKINI HAILAZI GARI.
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#MAJI SAFI DAWASA
#UMEME WANASHARE W4.
#CHOO WANASHARE W2.
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
BAJAJI TSH 1,000/=
BODA TSH 1500/=
๐๏ธ๐น๐ฟ KARIBUNI SAANA..
KIMBIA CHAPU
+255 684 88 14 29
+255 793 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI