1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NZURI YA KUPANGA 100K X6
KODI NI LAKI MOJA KWA MWEZI
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO
NI CHUMBA KIMOJA NA CHOO CHAKE NDANI MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI MADIRISHA MAZURI YA SHATA NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347