1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA
KODI 200,000 × 4/5/6
Location: KIMARA STOP OVER
Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#SEHEMU YA JIKO
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE KUBWA
💫BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 🚗
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp
Mr.