1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
SOMA MAELEZO VIZULI
(1)CHUMBA, SEBULE, JIKO OPEN KITCHEN, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI HAKUNA MASTER BEDROOM
LUKU YA KUSHEA WA 2, PAMOJA NA MAJI
KODI 250,000/= KWA MWEZI
(2)CHUMBA MASTER BED ROOM#HAKUNA JIKO
LUKU YA KUSHEA WA 2, PAMOJA NA MAJI
KODI 150,000/=
HIZI NYUMBA ZIKO UMBALI WA DK12 KWA MGUU KUTOKA STEND MWENDOKASI, PKPK 1000/=
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA15,000
SIMU 0659336751 WSP 0786085637