1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






CHUMBA KIMOJA KIZURI SANA KINAPANGISHWA
KIMARA SUKA
💥 KODI YAKE 60K
ILIPWE 60K MALIPO YA MIEZI 6
#NYUMBA HII IPO NDANI YA FENCE,NA WAPANGAJ WATATU CHOO SHARE WAWILI.
#TILES/ GIPSUM
#MADILISHA KIOO
#MAJI YANAFLOW
#UMEME
NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM1.30
BODA TSH 1,000/=
Call 0659244543
🏘️🇹🇿 KARIBUNI SAANA