1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 160,000
LOCATION KIMARA KOROGWE OR UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU KOTE UNAFIKA USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI YA WAYA PAKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347