1 Bedrooms House for Rent at Kipengele, Njombe







MPYAA MPYAA MPYAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE UKISKIA NYUMBA LAMI NDO HIZI SASA 300K X6
ILIPWE LAKI TATU MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HIZI NZURI ZISIZO NA KIPENGELE ZIPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA UKISHUKA NDANI
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENCE INAJENGWA FULL PEVING BLOCK π« ZINAWEKWA HAPA
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI UNAJITEGEMEA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
0713661530_0783661530