1 Bedrooms House for Rent at Majengo, Dodoma


NYUMBA YAKUJITEGEMEA INAPANGISHWA
MAHALA SALA SALA MAJENGO
INA VYUMBA VIWLI CHUMBA KIMOJA MASTA
JIKO NASEBULE PABRIKI TOLETI
NYUMBA INAFULU KAMELA ULINZI WAKUTOSHA
BEI 300,000 KWAMWEZI MALIPO MIEZI 5 NA DALALI MWEZI 1
MAJI SAWASIKO MASAA 24. KUONA NYUMBA 30,000
WAHI TUWAHI BOSSI KALEWA