1 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa vyumba viwil vyakulala viwili kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa Sana
Huduma maji dawasco na umeme unajitengemea
Full AC tv camera 📸
Bei laki 9 na nusu kwa mwez kod miez 6 tu
Nyumba IPO makongo mtipeaa
Nipigie simu 0780600341