1 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro







CHUMBA KIMOJA MASTER KINAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1 USAFIRI BAJAJI 700 BODA 1000
SIFA ZAKE:
NYUMBA MPYA
CHOONI MAJI YANATOKA
UMEME ELFU 10 KWA MWEZI
KODI 100,000 X 4,5,6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347