1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(150,000 ร 3) ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐ฅ๐
APARTMENT NZURI YA MASTER NA JIKO
INAFAURISHWA MBEZI KWA MSUGURI
NI CHUMBA KIMOJA NA CHOO NDANI NA JIKO LAKO
BEI NI 150,000 ร 3 ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KODI YA MIEZI MITATU
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1
USAFIRI UPO BAJAJI 700
BODA 1000
KUJAKUONA NYUMBA 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
๐๐ผ๐ป๐๐ฎ๐ฐ๐:
0654101710
0787205300