1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
MBEZI KWA MSUGURI 1KM KUTOKA MOROGORO, BAJAJI 700
APARTMENT HIZI AINA TATU 3
( 1 ) chumba kimoja masta na kibaraza chako cha kupikia bei ni (150,000X6)
( 2. ) chumba na sebule na jiko choo cha ndani bei ni
KODI:(200,000X6)
( 3 ) chumba kimoja singo bei ni 70x6 ilipwe elfu sabini kodi ya miezi sita
(70,000X6)
Umeme ni.wakushea Luku 3
Maji pia yakushea bill 5
Kutoka.morogoro rood km 1
Uasfili upo wakutsha bajaji 700
Boda 1000
Ukishuka kwanye bajaji unapinga teke mrango
Kujakuona nyumba ni elfu.15 ukiipenda utamlipa dalali pesa ya mwezi mmoja
CONTACT US:-
0716223412
0683597453