1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri sana
Location mbezi kibanda cha mkaa km 2 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 200000 kwa mwezi na dalali mwezi mmoja Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sitting room
Kitchen
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128