1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment kali sana Inapangishwa temboni dk 6 kwamiguu kutembea kushoto kama unaelekea mbezi
Ipo ndani ya fensi Inajitegemea umeme na maji
Chumba kimoja chakulala sebule jiko choo
Inatailizi gyupsam aluminium
Kodi 270,000/=X 6
Kuona nyumba 15000
Utamlipa dalali kodi yamwezi mmoja ukilipia nyumba
Cont
0683234124
0718367179