1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA MASTER KINAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI INN
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 KWA MIGUU
KIPO NDANI YA FENCE
MAJI BURE
UMEME ELFU 5 KWA MWEZI
JUU FEN
PACKING SPACE KUBWA
GARI UNALAZA NDANI
MAJI YA BILI DAWASA [ PIA KUNAKISIMA CHA MAJI YA DAWASA]
KODI 90,000 X 3
#0710614924
#0688653940