1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(100,000 ร 4,5,6) MBEZI KWA MSUGURI
MASTER KALI KUBWA SANAA๐ฅ๐ฅ INAPANGISHWA MBEZI MSUGURI UA UNAWEZA PITIA MBENZI MWISHO BARABARA YA MALAMBA KITUO KWA OSAMA
NI CHUMBA KIMOJA NA CHOO NDANI
UMEME MAJI UNAJITEGEMEA
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 4
BEI NI 100,000 ร 4ILIPWE LACKI MOJ YA KODI YA MIEZI MINNE๐ฅ
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 2
USAFIRI UPO BAJAJI 700 AU
BODA 1000
KUJA KUONA NYUMBA NI ELF 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contacts:
0654101710
0787205300