1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







MASTER KUBWA SANAA INAPANGISHWA MBEZI MSUGURI 120,000x4,5,6
NI CHUMBA KIMOJA NA CHOO
NDANI
UMEME MUNASHEA WAWILI 2
MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 120X5 ILIPWE LAKI MOJA NA HISHISIRINI KODI YA MIEZI MITANO
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 2
USAFIRI UPO BAJAJI 700
BODA 1000
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA UMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
What saapp number 0689-547258