1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA NA HII MOJA NDIYO IPO WAZI MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI.
--------
Vyiumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Full makabati vyumbani
Maji yana flow
Garden safi
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=Γ6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
----------
Contact
π#0677370515