1 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma


NYUMBA INAPANGISHWA
LOCATION MJINI(KARIBIA NA NBC)
KODI 200000*6PLUS MWEZI MMOJA WA DALALI
📌SEBULE
📌JIKO
📌MAKABATI
📌CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
📌UMEME NA MAJI YAKO MWENYEWE
📌NDANI YA GETI NA INA UKUTA KARIBUNI
luluz_kitchen_decor