1 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
Itakuwa Wazi Mwisho Wa Mwezi
Ni Chumba kimoja Master
Ina jiko
(Singleself)
Bei 120,000 kwa Mwezi
Chumba ni kikubwa sana
Njoo lipia Tarehe moja unahamiaaa
.
Contacts- 0683545452