1 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha


NYUMBA YA KUPANGA MOSHONO , ARUSHA
.
HAKA KANYUMBA NI KAKALI ALAFU ZACHINI CHINI MAJI NI BURE HAPO....
.
⏺️Chumba 1 cha kulala,Sebule na jiko,
⏺️Vyoo vipo viwili
⏺️ MOSHONO SUYE KWA MZUNGU
⏺️Mazingira tulivu
⏺️Kodi 200,000/-
⏺️umbali Ni 1KM Kutoka Lami
.
Mobile:0788729522