1 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA (MASTER), SEBULE NA JIKO KUBWA LENYE KABATI, FENI SEBULENI NA CHUMBANI.
UMEME MITA YAKUJITEGEMEA NA MITA YA MAJI YAKUJITEGEMEA MAJI YANATOKA NDANI, PARKING IPO.
KODI 150000 TU KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU, KITUO SEKONDARI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.