1 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA, SEBULE, CHOO NA JIKO.
UMEME MITA YAKUJITEGEMEA NA MITA YA MAJI YAKUJITEGEMEA MAJI YANATOKA NDANI, PARKING IPO.
KODI 150000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU, SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111