1 Bedrooms House for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


APARTMENT, ROOM1 NA SEBULE,TSHS.700,000/MWEZI -SINZA.
Hii ni nyumba ya kisasa mpya na nzuri.
Chumba kimoja cha kulala, sebule na Choo cha Ndani sio Masta.
Nyumba ina AC mbili, LUKU yake na Parking.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuina ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji.
+255 714 591 548
_________________