1 Bedrooms House for Rent at Sinza, Dar Es Salaam
Apartment iyo ni chumba kimoja master
@
Kinapangishwa sh laki mbili kodi ya miez
@
Miez 3 na dalali 4 kipo sinza kijiweni
@
Umeme usafi ulinzi takata jumla ni sh
@
28000
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Mpaka unapata chumba
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687