1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA NIMESHUSHA BEI KWA SASA 250,000X4,5,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCTION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA ๐ซ
NB: NYUMBA INAVYIUMBA VIKUBWA SANAA VYA KUTOSHA NA BARAZA KUBWA YA KUPUMZIKIA
MAWASILIANO
+255 743 88 14 29
+255 743 28 49 79
MSHATI