1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri sana
Location ubungo riverside dakika 8 kutembea mpaka home
Kodi 280000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme sapumita
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space kubwa
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128