1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Master bedroom n
RENT PER MONTH:250k per 6 Month
LOCATION:UBUNGO MSEWE NEAR UDSM
Specifications:-
🔗Nyumba ipo Maeneo ya msewe Near UDSM📍
🔗Chumba Kimoja Master bedroom
🔗Jiko Lake Zuri Kabisa
🔗Fence Na Parking ipo kubwa sana
🔗Hulipi maji
🔗umeme independent
Payment Conditions:-
🔗Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 250k
🔗Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita(6)
Service Fee:-
🔗Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
🔗Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
☎️0718536657 Normal/Whatsapp📲