1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location ubungo riverside kibangu km1
Kodi 220000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Hakuna jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Nyumba ipo ndani ya fency isiyo laza gari
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















