1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Maelezo:
Master Bedroom na Jiko - 200k kwa Mwezi, Ubungo-Golan
Maelezo:
• Chumba kimoja master
• Sehemu ya jiko
• Umeme unashirikiwa
• Hakuna parking
• Umbali ni dakika 10
• Nauli ya bodaboda ni elfu mbili kufika Ubungo Kibo
• Maji yanashirikiwa
• Nyumba haipo ndani ya uzio (fence)
Bei: 200k kwa mwezi
Masharti ya Malipo: Kodi ya miezi 6
Eneo: Ubungo-Golan
Huduma ya Gharama: 20k
Ada ya Dalali: Pesa ya mwezi mmoja
Kwa Mawasiliano Zaidi:
Piga simu/WhatsApp: 0692932076