1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 50,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#CHOO CHA NJE MNASHEA WAWILI TU
#UMEME WAWILI
#MAZINGIRA MAZURI SANA USALAMA WA KUTOSHA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347