1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Kuna Apartment Moja hapa ubungo kibangu juu km 1.5 kutoka ubungo river side Usafiri upo wa uakika bajaji 700 ukishuka dk 3 upo nyumban brbr ni ya lami
Ina chumba kimoja sebule, jiko, bafu, Water heater, Feni TV cable connection na balcon-sehemu tatu, iko Floor ya kati kati Kuna Mita binafsi ya umeme, Car park ya kutosha, Ulinzi ikiwemo CCTV. Pia kuna Free WiFi. Iko wazi kuanzia trh 01 Decp
P
2025 kwa:
Bei ya Sh 240,000/=
Malipo ni
Miezi sita.
Pia kwa wenye watoto wa chekechea mpaka darasa la tano kuna shule nzuri na bei nafuu sana, hamia na mtoto wako.
Karibuni
Contact
0742260844
0657384670



















