1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 350,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 10 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
NB: INAKUWA WAZI TAREHE 30.8.2025 KUONA KULIPIA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347