1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID INAKUSHUSHIA GETINI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW CHOONI
#UMEME LUKU W3
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO PEVING BLOCK 🚫
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347