1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #MPYAA #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Kibo, Msewe
🕑Dakika 4 Kutembea toka Morogoro Road
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master Kikubwaa
🔹Umeme Sub-Meter yake
🔹Maji yanaflow ndani
🔹Fensi & Parking Kubwa
🔹Pavings Zinawekwa
👉Zipo 3 Hapa, Moja ndio Iko wazo
🔶Kodi Tsh 200,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 200,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊